Nijambo la fulaha na laheli sana kumpata mtu akupendae katika maisha yako lakinitu utakapo gundua kuwa mwinzi wako anamichepuko mingi mtaani kwenu unadhani utachuku hatua gani na kumbuka tayali mmekwisha funga nae ndoa. Je! Utamuacha? Au utamsamehe? Pia nakama utamsamehe je utaishinae katika mtazamo upi? Nipe majibu.unaweza uka comment ukatoa maoni yako kupitia ukulasa wetu huu wa UDAKU STORY TV1.
No comments:
Post a Comment