Pata habari Moto Moto hapa na udaku story https://youtube.com/@thevoiceofamaninthedesert?si=NZxy4jhm4k3fi71g

Wednesday, December 21, 2016

TAMANI ULICHO NACHO

Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:

Padre: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo?
Mke: Baba Padre tatizo ni hali ngumu ya maisha.. sio mimi
Padre:Fafanua..!

Mke:Unakuta asubuhi naenda kazini sina hela na inanibidi nichukue tax, nikifika kazini dereva anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:tufanyeje ni nini?
Mke:kulala nae

Padre:Ooh endelea..!
Mke:Inafika wakati wa kula Sele akiniletea chakula nae anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:Mmh aiseee..

Mke:Hata nkienda kwa dokta nae anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:Duh..!!

Mke:hata wakati wa kurudi home nkichukua tax ni yale yale nachagua tufanyeje. ndo maana nkifika nyumbani sina hamu kabisa..

Padre: Aisee pole sana mwanangu, sasa tumwambie mumeo au tufanyeje??🙈🙈🙈🙈🙈🙈

No comments:

Post a Comment