Chama cha mapinduzi ccm imejipanga kuhakikisha watanzania wana ishimaisha ya kuwa na Amani pia imejipanga kubolesha maendeleo mijini na vijijini ili watanzania wasipate mateso na kuona viongozi hawatendi kazi pia wameahidi kulinda umoja na mshikamano na kudumisha upendo kwa wananchi na Taifa zima
No comments:
Post a Comment