Mh:Edwad lowasa amefulahiswa na jitihada za Rais magufuli katika utendaji kazi ulivyo mzuri na kuwataka watanzania wote kuungana nae katika kulijenga taifa letu pamoja na wana nchi wote kuwasaidia kutoka katika Haliya kimaskini pia akaongeza kusema tuacheni mambo ya kubaguana kwani tunae kiongozi mzuli anatuongoza watanzania pia akaongeza kusema jitihada za mh: Rais magufuli ndio mipango yangu niliyo kuwa nikiitaka kuifanya lakini naona Rais anamoyo mzuri na nia nzuri kuhakikisha nchiyetu inakuwa salama.
No comments:
Post a Comment