Pata habari Moto Moto hapa na udaku story https://youtube.com/@thevoiceofamaninthedesert?si=NZxy4jhm4k3fi71g

Thursday, December 29, 2016

JIFUNZE KUHUSU MAPENZI

ELIMU&MAPENZI <=> :ROBY:<=>  
=>Karibu tena M"kwenye A"uwanja wetu P"huu E"tunapojuzanaN"mambo Z"mbalimbali  I"kuhusu  ""uhusiano wa kimapenzi T"bilashaka A"kila mmoja T"anatamani I"kumpata Z"mpenzi O"ambaye ""atampenda ""na B"kumuonyeshaY"mahaba ""mazito ""ambayo R"hajawahi O"kuyapata B"sehemu Y"nyingine B"yoyote.Hata R"kwa ambao O"wapo W"kwenye N"uhusiano wa />kimapenzi,wa/>natamani />wenzi wao />wawapende />kwa dhati na />kuwaonyesha/>uaminifu wa />hali ya />juu.Kwa />bahati />mbaya, />wengi />wanatamani />kuchuma />matunda />matamu ya />mapenzi />lakini />hawapo />tayari />kupanda />mbegu, />kuzimwagilia,/>kuzipalilia />na kuzitunza />mpaka />zitakapotoa />matunda. />Mapenzi ni />kama />bustani />ambayo />inategemea />ni mbegu za />aina gani />unazopanda />na jinsi />unavyo />vitunza.ukipa/>nda />magugu,usite/>geme kuvuna />mpunga!!<= >ITAENDELEA<

Wednesday, December 21, 2016

JIFUNZE NAMNA YA KUFANIKIWA

Mambo Muhimu Ya Kujifunza Kutoka Kwa Watu Wenye Mafanikio.
Ipo haja kubwa sana ya kujifunza kupitia watu waliofanikiwa ili kuweza kufikia mafanikio mkubwa. Kupitia maisha yao kuna mambo mengi ya msingi tunakuwa tunajifunza na kuachana na makosa ambayo wao waliyafanya bila kujua.
Na kiuhalisia yapo mambo mengi ya kujifunza kutoka watu waliofanikiwa ambayo yanaweza kuwa msingi mkubwa wa mafanikio yetu. Kuyajua mambo hayo itakusaidia kujiamini na kuendelea mbele. Mamba hayo ya kujifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa ni kama haya yafuatayo:-
1. Watu waliofaniwa ni watu wa kutegemea mafanikio makubwa kutoka ndani mwao na siyo kinyume cha hapo. Ni watu wa kuamini ule uwezo walionao ndani mwao kuwa ndiyo utakao wafanikisha.
2. Watu waliofanikiwa ni watu wa kuishi kwa bajeti. Mara nyingi hujikuta wakikata au kupunguza kile ambacho siyo cha muhimu katika bajeti yao na kutengeneza bajeti upya itakayowafanikisha. Kwa kifupi, matumizi yao kwa sehemu kubwa yanaongozwa na bajeti.


3. Watu waliofanikiwa ni watu wa vitendo. Mara nyingi siyo waongeaji sana. Ni watu wa kuchukua hatua ambazo zinaleta matokeo halisi na chanya yatakayojitokeza kwenye maisha yao.
4. Watu waliofanikiwa wako makini na suala zima la uwekezaji. Kila wakati wamefungua macho yao kuangalia ni wapi ambapo wanaweza kufanya uwekezaji ambao utawaletea matunda na mafanikio makubwa badala ya kukaa na kutumia pesa hizo tu.
5. Watu wenye mafanikio wanatumia muda wao mwingi kujifunza. Kwa kifupi hawa ni watu wa kujifunza kupitia kusoma vitabu mbalimbali hata pia kuhudhuria semina au warsha za mafanikio.
6. Watu wenye mafanikio ni watu kuendelea mbele hata pale inapotokea wameshindwa katika jambo fulani. Huwa hawasimami kusikilizia sana maumivu hayo. Hujifunza na kisha safari ya mafanikio kuendelea kama kawaida.
7. Watu wenye mafanikio mara nyingi wanazungukwa na watu wenye mitazamo chanya kama ya kwao. Watu hawa wanaowazunguka huwasaidia zaidi kimtazamo na kuwafanya wawe na mafanikio muda wote.
8. Watu wenye mafanikio hawana kauli za kushindwa kwenye maisha yao. Muda mwingi wamebeba kauli za mafanikio. Hutaweza kuja kuwasikia wakisema ‘siwezi hili, au lile’ badala yake hukaa na kusema ‘nitaweza vipi kufanya jambao hili nakufanikiwa’ hizo ndizo kauli za watu wenye mafanikio.
9. Watu wenye mafanikio ni watu wa kujitoa mhanga. Siku zote wako tayari kufanya na kutoa chochote ili mradi tu mipango na malengo ya iweze kutumia na kufika kule wanakotaka kufika.
10. Watu wenye mafanikio ni watu wa kufanya mambo yako kwa kuweka nguvu nyingi za uzingativu katika eneo moja. Kama kuna jambo wameamua kulifanya wanaling’ang’ania hilohilo mpaka liwape matokeo kamili.
11. Watu wenye mafanikio ni watu wa kutunza muda siku zote. Hawako tayari kupoteza muda wao kwa kufatilia mambo ambayo wanaona hayana msaada kwao.
12. Watu wenye mafanikio ni watu wenye uvumilivu wa kutosha. Kuna wakati huwa wanashindwa katika mambo yao, lakini huvumilia mpaka kuweza kufanikiwa.
Yapo mambo mengi sana ambayo unaweza kujifunzakupitia watu waliofanikiwa, lakini unaweza ukayafanyia kazi mambo  hayo kwanza ili yawe msingi bora katika safari yako ya mafanikio uliyonayo.
Nakutakia kila la kheri katika safari yako ya mafanikio na endelea kutembelea www.amkamtanzania.com kujifunza na kuhamasika.
Ni wako rafiki katika mafanikio,

FOR MAN ONLY

UJUMBE MUHIMU KWA WANAUME WOTE.

1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema.

2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao BALI kwa idadi ya wanawake aliowaambia "Mimi ni mume wa mtu" au ninae mtu tayari.

3. Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wamaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao"

4. Kila mwanamke anavutia akivaa nguo fupi inayoonesha maungo yake wazi, ila kama utakuta mwanamke amevaa nguo ndefu au za kusitiri mwili wake na bado anavutia, huyu ni dhahabu! Anathamini mali za mumewe!

5. Kamwe usimpe mwanamke mimba ya mtoto kabla hujampa mimba ya malengo na ukayatimiza.

6. Tafuta mwanamke ambae atakupa changamoto za maisha na kuongeza uwezo wako wa kufikiri na sio mwanamke wa kila kitu Ndio mzee!

7. Wanawake wakamilifu hawapatikani popote duniani, ila wanawake bora wapo kila mahali.

8. Mwanamke anaweza kukusaliti, ila Mungu hawezi kukusaliti, hivyo basi kabla hujapata mwanamke Mpate Mungu kwanza. Kuna raha sana kuwa ndani ya Mungu asikwambie mtu!

9. Kama unajijua umefikisha miaka 25 na kuendelea epuka mambo ya kivulana, kuvaa suruali katikati ya makalio, kuvaa hereni, kubadili badili wanawake kama unachambua mitumba ya karume etc

10. Usitumie kichwa chako kunyoa kiduku, tumia kichwa chako kuwaza mambo yenye tija ikiwemo kutafuta pesa na kuongeza hazina ya maarifa.

TAMANI ULICHO NACHO

Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:

Padre: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo?
Mke: Baba Padre tatizo ni hali ngumu ya maisha.. sio mimi
Padre:Fafanua..!

Mke:Unakuta asubuhi naenda kazini sina hela na inanibidi nichukue tax, nikifika kazini dereva anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:tufanyeje ni nini?
Mke:kulala nae

Padre:Ooh endelea..!
Mke:Inafika wakati wa kula Sele akiniletea chakula nae anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:Mmh aiseee..

Mke:Hata nkienda kwa dokta nae anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:Duh..!!

Mke:hata wakati wa kurudi home nkichukua tax ni yale yale nachagua tufanyeje. ndo maana nkifika nyumbani sina hamu kabisa..

Padre: Aisee pole sana mwanangu, sasa tumwambie mumeo au tufanyeje??🙈🙈🙈🙈🙈🙈

Tuesday, December 20, 2016

Saturday, December 17, 2016

HILLARY CLINTON SAID RUSSIA ACTIONS WERE AN ATTACK AGAINST OUR COUNTRY

Former US Democratic presidential candidate Hillary Clinton has for the first time attributed her election defeat to Russian hacking.
She told party donors that President Putin had a "personal beef" against her for describing Russia's parliamentary elections five years ago as rigged.
She also cited the release of a letter by FBI director James Comey as having lost her close races in key states.
Meanwhile, the FBI has backed a CIA assessment of Russian intervention.
In a message to employees, seen by US media, CIA Director John Brennan said he had met Mr Comey and US Director of National Intelligence James Clapper, and there was "strong consensus among us on the scope, nature, and intent of Russian interference in our presidential election".
Russia has been accused of hacking the emails of the Democratic Party and a key Hillary Clinton aide, which the Kremlin strongly denies.
The New York Times said Mrs Clinton's comments were her first on the subject since widespread reports of the hacking surfaced before the election.
"Putin publicly blamed me for the outpouring of outrage by his own people, and that is the direct line between what he said back then and what he did in this election," Mrs Clinton said, quoted by the Times.
"This is not just an attack on me and my campaign, although that may have added fuel to it. This is an attack against our country. We are well beyond normal political concerns here. This is about the integrity of our democracy and the security of our nation."

Friday, December 16, 2016

(iv) Which of the following was not a feature of colonial economies in Africa?

A. Local industries were encouraged.
B. Agricultural production played a dominant role.
C.Imports came mostly from Europe.
D. Basically Cash crops were prioritized.

(V) Three of the following statements about traditional education in Africa are correct. Which one is not correct?

A. It was not confined to any one place or time.
B. It placed great emphasis on individual freedom and rights.
C. It was imparted through riddles and proverbs.
D. It enabled the youth to be acceptable members of the society.


EFFECTS OF THE PRE-COLONIAL CONTACT BETWEEN THE PEOPLE OF AFRICA AND ASIA

Contacts between the people of Africa and Asia began as early as 200BC.The contact placed Africa on the international commercial system.
Asian people came into contact with the people of Africa through trade activities.

The following are the effect of pre-colonial African contact between the people of Africa and Asia:-

Growth of towns and coastal city States: most of the areas near the Indian Ocean and across the African coast areas grew very fast because of business activities. Example of these coastal States include Lamu,Mogadishu, Bagamoyo,Sofala, Pate and Malindi.

Spread of islam:-Through jihads Islamic kingdoms in Asia such as Oman expanded and became prosperous. As these kingdoms expanded so did Islam-their religion spread. Thus Islam entered East Africa and spread in the coastal city States and into the interior.

UNDER EACH OF THE SENTENCES BELOW THERE ARE FOUR STATEMENTS

(ii) Three of the following are true about the lyttelton constitution of 1954 in kenya.which one is not true?

A. It said that Africans could elect their representatives in LEGCO.

B. It created posts for ministers.

C. It raised the number of Africans in the LEGCO.

D. It said that Africans would be appointed as minister.
Writing answer........ Here

QUESTIONS AND ASWERS

1,Under each of the sentences below,there are four statements.one of the statements wrongly explains the sentences.identify the wrong statement and write down its letter.

 (i) the following were the basic reasons for the outbreak of the MAU MAU war in kenya?.

 A. land grievances of the kikuyu

B. Africans were not allowed to grow cash crops like coffee and pyrethrum.

C. Struggle to regain political, economic and cultural independence.

D. The execution of Dedan kimathi and General china sparked the movement.....

Tuesday, December 13, 2016

kichekesho chamuhuni

CCM YAJIPANGA KUTUMIKIA WANANCHI

Chama cha mapinduzi ccm imejipanga kuhakikisha watanzania wana ishimaisha ya kuwa na Amani pia imejipanga kubolesha maendeleo mijini na vijijini ili watanzania wasipate mateso na kuona viongozi hawatendi kazi pia wameahidi kulinda umoja na mshikamano na kudumisha upendo kwa wananchi na Taifa zima

LOWASA ATOA PONGEZI KWA RAIS MAGUFULI

Mh:Edwad lowasa amefulahiswa na jitihada za Rais magufuli katika utendaji kazi ulivyo mzuri na kuwataka watanzania wote kuungana nae katika kulijenga taifa letu pamoja na wana nchi wote kuwasaidia kutoka katika Haliya kimaskini pia akaongeza kusema tuacheni mambo ya kubaguana kwani tunae kiongozi mzuli anatuongoza watanzania pia akaongeza kusema jitihada za mh: Rais magufuli ndio mipango yangu niliyo kuwa nikiitaka kuifanya lakini naona Rais anamoyo mzuri na nia nzuri kuhakikisha nchiyetu inakuwa salama.

Monday, December 5, 2016

CHILDREN OF AFRICAN CAN U HELPS

Taswira ya huyu mtoto yaonyesha jinsigani anavyo pata uchungu juu ya maisha anayo ishi japo wazazi wake wapo mbalin na yeye pia malanyingi watoto wadogo yamkini hana wazazi so mtie moyo kwakusema Ameni


Thursday, December 1, 2016

UTAMU WA MAPENZI

Mapenzi nimatam pale utakapo mpata umpendae natamani kupendwa lakini sina hata wakuniita sasa nashindwa kujua mm Nina tatizo gani naombeni ushauli

SUMU YA MAPENZI

Nijambo la fulaha na laheli sana kumpata mtu akupendae katika maisha yako lakinitu utakapo gundua kuwa mwinzi wako anamichepuko mingi mtaani kwenu unadhani utachuku hatua gani na kumbuka tayali mmekwisha funga nae ndoa. Je! Utamuacha? Au utamsamehe? Pia nakama utamsamehe je utaishinae katika mtazamo upi? Nipe majibu.unaweza uka comment ukatoa maoni yako kupitia ukulasa wetu huu wa UDAKU STORY TV1.